Sekta ya Halal
IQNA - Mkutano wa 10 wa Kimataifa 'Halal' utafanyika kutoka Novemba 27 hadi Novemba 30 katika Kituo cha Maonyesho cha Istanbul, nchini Uturuki na kuwaleta pamoja wataalam wa tasnia ya 'Halal' kutoka kote ulimwenguni.
Habari ID: 3479631 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/22
Sekta ya Halal
IQNA - Waziri wa Biashara wa Saudi Arabia Majid bin Abdullah Al-Qasabi amielezea sekta ya ‘Halal’ kama moja ya sekta zinazokua kwa kasi zaidi duniani.
Habari ID: 3478257 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/26
Sekta ya Halal
TEHRAN (IQNA) – Warsha kuhusu sekta ya chakula Halal imepangwa kuandaliwa katika mji mkuu wa Libya wa Tripoli na Wizara ya Uchumi na Biashara ya nchi hiyo.
Habari ID: 3476526 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/07
Sekta ya Halal
TEHRAN (IQNA)- Kwa mara ya kwanza, serikali ya Libya imeanzisha kamati ya bidhaa na huduma Halal na kubainisha majukumu yake.
Habari ID: 3475669 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/23